| Ben Kinyaiya pamoja na Stev Nyerere |
| Team ya skylight ndani ya Giraffe |
| mkali wa town |
| katarina bega kwa bega na mama wa free soul |
| watu mbali mbali walikuwepo kusupport bendi |
| burudani mwanzo mwisho |
| yote haya ndani ya Giraffe |
| Serebuka |
| Wana skylight na Steve Nyerere |
| Wadau |
| Anneth akionesha Manjonjo |
| Uongozi pamoja na wadau wa Skylight band |
Shukrani za dhati ziwaendee wale wote walioweza kufika na kutoa support kwa bendi hii mpya jijini Dar-es-Salaam. Huu ulikua mwanzo tu kaeeni mkao wa kula maana vitu vizuri viko njiani.
(Source global publishers)
No comments:
Post a Comment