Tuesday, September 4, 2012

AFTER THIS WHAT'S NEXT

Free Soul inaungana na wa Tanzania wengine kulaani vikali kitendo cha unyama alichotendewa Marehemu Daudi Mwangosi na kuiomba serikali ichukue hatua sahihi juu ya swala hili.

Mungu ailaze roho ya marehemu Daudi Mwangosi mahala pema peponi,Amen.


No comments:

Post a Comment