Saturday, August 25, 2012

UZINDUZI WA SKYLIGHT BAND NDANI YA GIRAFFE OCEAN VIEW HOTEL

Ben Kinyaiya pamoja na Stev Nyerere 

Team ya skylight ndani ya Giraffe

mkali wa town

katarina bega kwa bega na mama wa free soul

watu mbali mbali walikuwepo kusupport bendi

burudani mwanzo mwisho

yote haya ndani ya Giraffe

Serebuka

Wana skylight na Steve Nyerere

Wadau 

Anneth akionesha Manjonjo

Uongozi pamoja na wadau wa Skylight band

Shukrani za dhati ziwaendee wale wote walioweza kufika na kutoa support kwa bendi hii mpya jijini Dar-es-Salaam. Huu ulikua mwanzo tu kaeeni mkao wa kula maana vitu vizuri viko njiani.

(Source global publishers)

No comments:

Post a Comment